April 22, 2025 10:46:57 PM Select Menu

Random Posts

Powered by Blogger.

Contact us

www.mau2ndudj.blogsport.com

email--mau2ndudj@gmail.com
-philymonjohn@yahoo.com
-josephm39bongo@yahoo.com

simu -
-0764277248
-0719184760

Special offer

Mau2ndu djz @Copyright 2012

Ads 468x60px

Social Icons

Featured Posts

Total Pageviews

170,948

Search This Blog

Blog Archive

MAU2NDU DZJ KWENYE FULL SWAGZZ NA MASTORY KIBAO

Lorem 1

    Technology

      Circle Gallery

      Shooting

        Racing

          News

            Lorem 4

              » »Unlabelled » ''TASNIA YA FILAMU TANZANIA YAZIDI KUPUKUTIKA'' HUYU NDIYE MUIGIZAJI WA BONGO MOVIE ALIYEFARIKI DUNIA''



              Msanii wa bongo moviez john s masanga amefariki dunia jana saa 4 usiku katika hospital ya mwananyamala kwa kile kilichosemakana kwamba alikuwa ameanguka ghafla katika semina aliyokuwepo kwa ajili ya mambo ya filamu.akiwa na kina natasha,mama yake monalisa na shija katika hali isiyokuwa ya kawaida ameanguka gafla,na kukimbizwa katika hospital ya mwananyamala hapo ndipo alipopimwa na kuambiwa kuwa alikua na vidonda vya tumbo na kufanyiwa oparation.
               
               baada ya madaktar hao kuona kuwa hali yake imezidi kuwa mbaya wakamwamishia hospital ya muhimbili na huko ndipo alipoendelea kupata matibabu zaid, lakin hali yake ilizid kuwa mbaya na kugundulika kuwa alikuwa na ugonjwa mwengine tofauti na aliokutwa nao hospital ya mwananyamala.muhimbili waligundua kuwa alikuwa na ugonjwa wa kujaa maji katika mapafu. ambapo muda wa kutibia ugonjwa huo ulikuwa umeshakwisha mpaka kupelekea kifo chake. marehemu john s maganga ameacha pengo kubwakatika tasnia ya filamu tanzania,marehemu alishaigiza filamu nyingi kama;-mrembo kikojozi,chanzo ni mama, my dreams,cake ya birthday,bar maid,pretty gal. na nyingine nyingi.
                                                           ''R.I.P MY BROTHER JOHN S MAGANGA''

              About MAU2NDU DJ'S

              WePress Theme is officially developed by Templatezy Team. We published High quality Blogger Templates with Awesome Design for blogspot lovers.The very first Blogger Templates Company where you will find Responsive Design Templates.
              «
              Next
              ''EXCLUSIVE'' PICHA ZINAZOMUONYESHA DIAMOND AKIWA KATIKA STUDIO ZA PILI PILI FM HUKO MOMBASA KENYA
              »
              Previous
              ''NEW TRACK'' NAS 3 FT KINGKAPITA-NILIKOSEA WAPI
              Pages 212 »

              No comments

              Leave a Reply